Wednesday, November 14, 2012

MY SPORTS



Wapenzi haya ni mazoezi ya SHOTOCAN karibuni tujumuike pamoja tuimarishe mwili, 
Huyu hapa mbele ni kaka yangu (Hamad Msabah) Maarufu kwenye mchezo anajulikana kama (Msabah)



Hii ndio timu yetu nyingine ya TAEKWONDO pia karibuni tujumuike pamoja mazoezi ni tiba jitibu kwa kufanya mazoezi ili kujenga mwili wako.



Huyu ndie H'd Swaleh, anajidaai lakini hana mpango wowote hayo ni majigambo tu.


Huyu ni Kaka yangu ni noma kwa Sarakasi (TAEKWONDO)










Nipo mbele na kundi letu karibu ujumuike na kundi.


Tulikuwa kwenye shoo kubwa ndani ya MLIMANI DAR tunarusha mikwanja.




Nipo na kaka yangu sote majina yetu yanafanana tukiwa MLIMANI UNIVERSITY COLLEGE.



Tulikuwa tupo TABATA tukirejea kutoka MLIMANI, kwenye Shoo.



Kaka akionesha staili za shoo.


Baadhi ya Wanafunzi wenzetu baada ya kumaliza shoo yao.


Timu ya wanafunzi wa TAEKWONDO wakiwa wamepumzika baada ya shoo


1 comment: