Monday, December 10, 2012

PANGANI


Pangani

Pangani Town

The name Pangani owes to the river that runs through northern part of this Historical Town. Pangani is an ancient town, and is believed to have been established before the 6th Century BC and played an important role during the slave trade era.

It is mainly a fishing town dotted with coconut trees, providing beautiful beaches for quiet vacation. Pangani is situated about 50km south of Tanga on the mouth of River Pangani that flows from the slopes of Mt. Kilimanjaro.
Pangani River hosts birds and crocodiles. Maziwi Island is a nature reserve which provides ground for snorkeling opportunity and dolphin tour. A walking tour though the town allows one to see some of old buildings that are over 200 years old, as well as visits to a former slave labor camps and slave market site.

Pangani town elders serve as knowledgeable guides who can impart their vast knowledge of Pangani history and culture going back to the 15th century as they take you through the town. In 1810, the Arabs constructed the central boma building, people were buried alive under the pillars during construction as it was believed this would ensure strong foundations. Later the German administration used the buidings as a colonial district office and added a european style roof giving the building a unique appearance. The intricate Arab carved doors and foundation (still strong!) remain and the building is now used as the district commissioners office.

The city has numerous historical monuments: the original slave depots and slave market where arabs traded slaves to India and Arabia, the Freedom Grounds, Islamic and German graves, ancient mosques and traditional houses.

Other tours that are recommended include an "agricultural and nature walk", this shows you some of the beautiful scenery and culture of Pangani. You visit local farmers and see various agriculture projects in the area such as coconut processing at Kikowea. A German fort facing the Pemba channel is the birth place of sisal growing in africa, here Richard Hindroph, a German botanist, planted the first sisal seedlings in 1892. You will see the sisal estates and factories and sisal plantations.

Then you walk along the coastline to a unique coral shore where the fossils of a 200-300 million year old dinosaurus rest in the area known as Mkomo and Mwanaunguja coral. During this tour you can swim or rest on some of the most spectacular beaches in Tanzania.

For tours and activities at Pangani, please visit Packages page.

Tanzania bara yasherehekea siku ya uhuru


Tanzania bara itaadhimisha miaka 51 ya uhuru Jumapili (tarehe 9 Disemba) kwa kufanya gwaride mjini Dar es Salaam, gazeti la Tanzania la Daily News liliripoti.
Sherehe hizo zitafanyika katika uwanja wa Uhuru, mahali ambapo Tanzania ilishusha bendera ya Uingereza na kupandisha bendera ya Tanganyika huru tarehe 9 Disemba 1961.
Maadhimisho haya yatajumuisha ukaguzi wa rais Jakaya Kikwete wa gwaride la heshima, maonyesho ya ngoma za asili kutoka Dodoma, Ukerewe na Zanzibar, na maonyesho ya ngoma utakaofanywa na Rwanda National Ballet.
Rais wa Zanzibar Ali Mohamed Shein, Waziri Mkuu wa Tanzania Minzengo Pinda na marais wastaafu Benjamin Mkapa na Ali Hussein Mwinyi watakuwepo katika sherehe hizo. Wakuu wa nchi sita za nje na mabalozi wa kidiplomasia wamealikwa pia kuhudhuria.

SAADANI NATINAL PARK

Saadani National Park

Saadani National Park
 
Saadani is where the beach meets the bush. The only wildlife sanctuary in East Africa to boast an Indian Ocean beachfront, it possesses all the attributes that make Tanzania’s tropical coastline and islands so popular with European sun-worshippers. Yet it is also the one place where those idle hours of sunbathing might be interrupted by an elephant strolling past, or a lion coming to drink at the nearby waterhole!
Today, a surprisingly wide range of grazers and primates is seen on game drives and walks, among them giraffe, buffalo, warthog, common waterbuck, reedbuck, hartebeest, wildebeest, red duiker, greater kudu, eland, sable antelope, yellow baboon and vervet monkey.
Herds of up to 30 elephants are encountered with increasing frequency, and several lion prides are resident, together with leopard, spotted hyena and black-backed jackal. Boat trips on the mangrove-lined Wami River come with a high chance of sighting hippos, crocodiles and a selection of marine and riverine birds, including the mangrove kingfisher and lesser flamingo, while the beaches form one of the last major green turtle breeding sites on mainland Tanzania.

Main attractions: Game drives, Walking Safaris, Boat Safaris.

For tours and activities at Saadani, please visit Packages page.

MAFIA ISLAND


Mafia Island

Mafia Island
Mafia Island ("Chole Shamba") is part of the Tanzanian Spice Islands, together with Unguja and Pemba.
The Mafia archipelago consists of one large island (394 km²) and numerous smaller ones. Some of these are inhabited, such as Chole Island
Mafia Island is a wonderful little island at the centre of the largest marine park in East Africa. The park is located between the Rufiji River delta to the west and the open Indian Ocean to the east. The dual influences of the river and the sea have combined to create a rich and exceptional biodiversity with unique landscapes under the sea and on dry land.

It is a real sleepy backwater, a remnant of the old swahili coast and a the place to visit now if you want to see how Zanzibar was thirty years ago.

For tours and activities at Mafia, please visit Packages page.

BACK TO TOP

Rais Kikwete amkabidhi nishani Bikidude

Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mrisho Jakaya Kikwete akimkabidhi tunzo Mwimbaji mkongwe wa Zanzibar Bi kidude
Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk.Jakaya Mrisho Kikwete,akimtunuku Nishani ya Sanaa na Michezo Bi Fatma Baraka Khamis,(Kidude) kupitia Basaza katika sherehe za kutunuku nishani mbali mbali katika viwanja vya Ikulu Dar des Salaam,katika kusherehekea maadhimisho ya miaka 51 ya Uhuru wa Tanganyika

Majambazi yapora mradi wa maji Z’bar



Majambazi yamevamia kituo cha mradi wa maji vijijini na kuiba fedha taslim Shilingi milioni tisa na vifaa mbalimbali katika kijiji cha Kiashange Mkoa wa Kaskazini Unguja.
Majambazi hao walivamia kituo hicho juzi wakiwa katika gari mbili aina Escudo.
Mbali ya fedha taslim, pia waliiba kompyuta za mkononi mbili, mashine za DVD mbili, simu za mkononi saba na kamera za mradi huo.
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Balozi Seif Ali Iddi, ameutaka uongozi wa Mamlaka ya Maji Zanzibar, (Zawa) kuimarisha ulinzi katika miradi ya maendeleo kama hiyo.
Alisema wakati umefika kwa Zawa kuhakikisha walinzi wenye sifa ndiyo wanapewa dhamana ya kulinda miradi mikubwa wakiwa na silaha za moto badala ya kuweka askari wa korokoroni wakiwa na virungu.
Balozi Seif alitoa agizo hilo wakati akiwapa pole watendaji wa kituo hicho cha mradi maji safi vijijini.
Alisema kutokana na mabadiliko ya dunia, ipo haja ya kuimarishwa zaidi ulinzi wa uhakika na kuachana mfumo wa ulinzi wa kutumia virungu ambavyo vimepitwa na wakati hasa katika miradi mikubwa inayofadhiliwa na wafadhili ukiwamo mradi huo.
Aidha, Balozi Seif alivitaka vyombo vya ulinzi kuwasaka majambazi hao mpaka wapatikane na kufikishwa katika vyombo vya sheria.
Awali Mkurugenzi wa Mamlaka ya Maji Zanzibar (Awa), Dk. Mustafa Ali Garu, alisema mradi wa maji safi vijijini wa Kiachange ni miongoni mwa miradi mikubwa mitatu inayotarajia kutumia dola milioni 47 za Marekani chini ya ufadhili wa Benki ya Maendeleo ya Afrika.
Mradi huo pia utasadia kuimarisha upatikanaji wa huduma ya maji safi na salama katika Mkoa wa mjini Magharibi na kisiwani Pemba ambapo SMZ itachangia asilimia 10 ya gharama za ufanikishaji wa mradi huo.
CHANZO: NIPASHE

ZANZIBAR BEACH HOLIDAY

Zanzibar Beach Holiday

Zanzibar Island
Visit Zanzibar Beach Holidays with your family. Waterbuck Safaris Limited - Safari Company specializes and offers romantic and exclusive Zanzibar Beach Holiday, Beach Holidays in Zanzibar, Zanzibar Beach Holidays, Honeymoon Packages in Africa Zanzibar Beaches, Holiday at Zanzibar Beach
Zanzibar is a small archipelago made up of two sister island known as Unguja and Pemba, located in the Indian ocean off the coast of East Africa, about 25 miles from the Tanzania coast and 6 degrees south of the equator.
Zanzibar Island (known locally as Unguja, the main island but as Zanzibar internationally) is 60 miles long and 20 miles wide, it is characterized by beautiful sandy beaches with fringing coral reefs and the magic of historic Stone town-said to be the only functioning ancient town in East Africa, is a World Heritage Site.

Zanzibar's rich history has been influenced by the Arabs, Persians, Indians, Portuguese, British and local tribes from the African mainland and this shows in the architecture. Stone Town is a place of winding lanes, ornately carved wooden doors, circular towers, raised terraces and beautiful mosques. Important architectural features are the Livingstone house, the Guliani Bridge, the House of Wonders and the Aga Khan's Old Dispensary Building.

Stone Town, the capital of Zanzibar, is steeped in history and an outstanding example of cultural fusion and harmonisation. It was recently and deservedly recognised by UNESCO as a World Heritage Site.
Zanzibar speak Swahili(known locally as Kiswahili)a language which is spoken extensively in East Africa, many believe that the purest form is spoken in Zanzibar as it is the birth place of the language.
The tours and activities that are conducted in Zanzibar are as follows:
Activities in Zanzibar
For Itineraries at Zanzibar, please visit Tanzania Safari Packages page.

Wildebeest Migration - An Spectacular Event to View with Waterbuck Safaris Limited.
Enjoy spectacular scenery and unparalleled views of Wildebeest Migration with us.
We offer most fun fulfilling and memorable event of Wildebeest Migration to enjoy & remember lifelong.
Waterbuck Safaris Limited - A leading tour operator in Tanzania offers Zanzibar Beach Holidays for families travelling to Tanzania. The Safari Company specializes and offers romantic and exclusive Honeymoon Packages in Africa. For exclusive customized offers on Zanzibar Beach Holiday,Beach Holidays in Zanzibar, Zanzibar Beach Holidays, Honeymoon Packages in Africa Zanzibar Beaches, Holiday at Zanzibar Beach

Huduma mpya ya barua-pepe kwa simu za mikononi yaiva Somaliland

Kazi ya kutoa huduma ya barua-pepe kwa watumiaji milioni moja wa simu za mkononi imekamilika, maafisa wa kampuni ya Telesom ya Somaliland wameiambia Sabahi.
  • Mtumiaji wa Telesom akitembea katika mitaa ya mji wa Hargeisa. Huduma mpya itaunganisha huduma za ujumbe wa maneno na barua pepe. [Barkhad Dahir/Sabahi] Mtumiaji wa Telesom akitembea katika mitaa ya mji wa Hargeisa. Huduma mpya itaunganisha huduma za ujumbe wa maneno na barua pepe. [Barkhad Dahir/Sabahi]
  • Jengo maarufu la Intaneti mjini Hargeisa ukiwa umefungwa kwa chakula cha mchana. Huduma mpya ya Telesom inawapa watumiaji fursa ya kupata barua-pepe kupitia simu zao za mikononi bila ya kutegemea migahawa ya intaneti. [Barkhad Dahir/Sabahi] Jengo maarufu la Intaneti mjini Hargeisa ukiwa umefungwa kwa chakula cha mchana. Huduma mpya ya Telesom inawapa watumiaji fursa ya kupata barua-pepe kupitia simu zao za mikononi bila ya kutegemea migahawa ya intaneti. [Barkhad Dahir/Sabahi]
Telesom inajitayarisha kuzindua huduma hiyo iliyokuwa imesubiriwa kwa muda mrefu wiki chache zijazo baada ya kuingia ubia na kampuni ya kimataifa ya Kimarekani inayojihusisha na shirika ya kimataifa ya tovuti na programu za kompyuta, Google, kutoa teknolojia hiyo, alisema mkuu wa idara ya kimataifa ya Telesom, Mohamud Haji Abdirahman.
Telesom iliingia kwenye ubia na Google hapo Aprili 2011 kutoa huduma hiyo mpya, ambayo itawaruhusu watumiaji wa Google kuwasiliana na wateja wa Telesom bure kupitia ujumbe mfupi wa maneno wa simu za mkononi.
Mwezi uliopita, mwakilishi wa Google kwa nchi za Afrika chini ya Jangwa la Sahara, Divan Lan, alivifanyia uchunguzi vifaa vya Telesom katika makao makuu ya kampuni hiyo, mjini Hargeisa, kabla ya uzinduzi huo.
Katika makubaliano ya ushirikiano wao, watumiaji wa Gmail wataweza kutuma barua pepe kwa nambari za simu za mkononi za Telesom ambazo zitawafikiwa watumiaji wa Telesom kwa njia ya ujumbe mfupi wa maneno, alisema Abdirahman. Watumiaji hao wa simu nao wataweza kuzijibu barua hizo kwa kutumia ujumbe mfupi wa maneno.
Abdirahman alisema kuzigeuza barua pepe kuwa ujumbe mfupi wa maandishi kutawaruhusu watumiaji wa Telesom kuweza kutumia fursa za mtandao wa Intaneti kuwasiliana kwa ufanisi zaidi.
Jambo hili linawaweka huru watu kutoka ile dhiki ya kutafuta migahawa ya intaneti ambapo si kila mara hukuta kompyuta ya kutumia,” alisema. “Kwa huduma hii sasa, watumiaji wataweza kujibu haraka ujumbe wanaotumiwa kwa sababu wanaweza kuchukuwa simu popote pale.”
Huduma hii itakuwa na athari kubwa juu ya namna watu wanavyowasiliana kwa kazi na kwa burudani, alisema Abdi Osman Ali, mtaalamu wa teknolojia ya habari mjini Hargeisa. “Inaonesha maendeleo ambayo Somaliland imeweza kuyafikia katika eneo la [teknolojia ya] mawasiliano,” alisema.
Ubia wa Telesom na Google ni muhimu kwa sababu ambazo ziko juu ya zile za utumaji wa ujumbe wa maandishi kwa barua pepe, kwa mujibu wa mchumi, Abdirahman Aden Ismail.
Ismail anasema makubaliano hayo ni muhimu sana kwa sababu yanatengeneza kigezo kwa makampuni mengine makubwa ya kimataifa kuwekeza Somaliland. “Yanaweza kupelekea ubia wa Telesom na makampuni mengine makubwa ya kimataifa,” Ismail aliiambia Sabahi.
Telesom iliundwa mwaka 2001 na kundi la Wasomali, baadhi yao wanaoishi nje ya nchi, ili kutoa huduma pana zaidi za mawasiliano kwa watumiaji kwenye eneo hilo.
Abdirahman alisema kampuni hiyo ilikuwa ya kwanza kutoa huduma za simu ya mkononi nchini Somalia, ambayo inawawezesha wateja kutumia huduma ya kuhamishia simu zao wanapokuwa nje, miongoni mwa mambo mengine.
Mwaka jana, kampuni hiyo ilianzisha mtandao wa 3G huko Somaliland na sasa inawahudumia zaidi ya wakaazi milioni moja wa Somaliland, alisema.
Kampuni hiyo inatarajia kushirikiana tena na Google kuanzisha huduma za kuinua uchumi na hasa kushughulikia mahitaji ya sekta binafsi, alisema.

PEMBA ISLAND

Pemba Island

Pemba Island


The island of Pemba known as 'Al Jazeera Al Khadra' (the green island, in Arabic) is an island forming part of the Zanzibar archipelago, lying off the east coast of Africa in the Indian Ocean, positioned directly east of the of the port of Tanga.. It is situated about 50 kilometres to the north of the island of Zanzibar & 50 kilometres east of mainland Tanzania.It is completely different from Zanzibar ... more undulating, verdant and remote.

Most of the island, which is hillier and more fertile than Zanzibar, is dominated by small scale farming. There is large scale farming of cash crops such as cloves

The most important towns in Pemba are Chake-Chake (the capital), Mkoani, and Wete.

In addition to its rich history and traditions, Pemba is of interest for its wealth of natural resources ranging from beaches to mangrove ecosystems to natural forests. While much of the coast is lined with mangroves, there are a few amazing stretches of shoreline and enough attractive offshore islands with pure, clean beaches and interesting bird-life to keep you busy for quite a while.

Pemba has some of the world's best diving and fishing and because it is not as travelled as it's more famous neighbour - Unguja (Zanzibar Island) - it is that much more pristine.

Pemba has some of the most spectacular diving in the world. Diving is conducted on the western side and is characterised by crystal clear, blue water drop-offs along with pristine shallow reefs. Hard and soft coral gardens abound with schools of coral fish, pelagic marine life, mantas and turtles.

The Pemba Channel is widely known, and is considered one of the world's best places for fishing.The Pemba Channel itself is Africa's premier marlin destination. Striped, black and blue marlin, broadbill, mako, sailfish, tiger and other sharks, dorado, wahoo, yellowfin tuna and many other game fish are all to be found in her azure waters

Mugabe backs 100% black ownership of Zimbabwe firms

By AFP,  10/12/2012
 
Zimbabwe President Robert Mugabe vows to overhaul business laws to require 100% black ownership of firms, up from 51%.
GWERU - Zimbabwe President Robert Mugabe on Friday vowed to overhaul business laws to require 100 percent black ownership of firms, up from 51 percent.
In a pre-election address to the ZANU-PF party faithful, Mugabe said the government would press ahead with controversial indigenisation policies, despite protestations from foreign investors.
"The notion that capital is more important than any other factors is nonsense," Mugabe told 5,000 delegates in the central city of Gweru.
"That philosophy is dirty, filthy and is criminal."
Mugabe's government passed a controversial indigenisation law two years ago, forcing all foreign-owned firms to cede a 51-percent share to locals, arguing it would reverse imbalances created during colonial rule.
"I think now we have done enough of 51 percent. Let it be 100 percent," he told the last party conference before 2013 polls, which could well see the 88-year-old's name on the ballot for the last time.
In typically bombastic style, Mugabe's comments plotted a clear populist platform for his re-election campaign.
"If you don't want to abide by the rules go away."
Mugabe and ZANU-PF face an uphill struggle to win over voters, many of whom are angered at the poor state of the economy.
The party must also patch up the damage done by internal splits that cost the party dearly in the 2008 general elections.
In that election, for the first time since independence in 1980, ZANU-PF lost its majority in parliament.
That helped force the veteran leader into a shaky power-sharing government with long-time rival Prime Minister Morgan Tsvangirai, whom he will face at the polls.

Italy awaits market reaction after political drama

By AFP, Updated: 10/12/2012
 
Italy waits to see how markets will react after a weekend of political drama in which Prime Minister Mario Monti announced his resignation.
ROME - Italy waited to see how markets would react on Monday after a weekend of political drama in which Prime Minister Mario Monti announced his resignation and Silvio Berlusconi launched a comeback bid.
The developments have put the Monti government's reform agenda on hold and brought forward the election, with a vote now expected as early as February, well before the government's mandate runs out at the end of
April.
"We should probably expect a sell-off in Italian assets," said Erik Nielsen, the London-based chief economist for Italian banking giant UniCredit.
He also forecast increased "pressure" on debt markets, leading up to a medium-term bond auction on Thursday and "volatile weeks" ahead.
But Nielsen said he was "not seriously worried" about Italy's prospects since the two most likely outcomes for elections were either a coalition led by the centre-left Democratic Party or a new Monti government.
Centre-left leader Pier Luigi Bersani has promised to keep the course set by Monti if he is elected, although he has said he would moderate some of the most controversial austerity measures and put more emphasis on
growth and jobs.
Greater unease could come from Berlusconi's return to the fray and his announcement that he will wage a campaign against key aspects of Monti's agenda as well as "diktats" from leading European powers like Germany,
analysts said.
Late Sunday Berlusconi stressed his dim view of the Monti government. "There is not one single economic indicator which is positive.
The experiment with a technocrat government is over, with, alas, totally negative results," he said.
The Italian press spoke of a Berlusconi "coup".
A three-time prime minister, the 76-year-old Berlusconi is running for office for the sixth time in two decades in politics.
In the latest in a series of trials against him, he was convicted of tax fraud in October but his sentence to a year in prison and a five-year ban from holding public office have been suspended pending an appeal.
Berlusconi is also still a defendant in a trial for having sex with an underage 17-year-old prostitute while he was prime minister and for abusing the powers of his office by having her released from police custody.
Berlusconi's People of Freedom (PDL) party has withdrawn its support for Monti's government, which it had previously backed as part of a grand coalition to prevent Italy from being swept into the eurozone debt crisis whirlwind.
A former high-flying European commissioner and economics professor, Monti took over in November 2011 after Berlusconi was forced out by a parliamentary revolt, a wave of panic on the financial markets and a series of sex scandals.
Supporters say Monti has managed to pull Italy back from the brink of bankruptcy by putting public finances in order and launching a number of long-delayed reforms to free up the economy and boost its growth prospects.
International investors have generally hailed his reforms, as well as his efforts to boost Italy's credibility on the European and world stage.
The differential or "spread" between Italian and benchmark German 10-year-sovereign bonds, a key measure of investor sentiment, has narrowed by half since he took over after hitting nearly unsustainable levels.
But some of Monti's measures, like the introduction of a new property tax, budget cuts and a reform of pensions, have proved deeply unpopular among ordinary Italians.
All the most recent polls show the main centre-left Democratic Party as the favourite to win the general election, although without an outright majority which would mean a coalition government.
Some polls show the People of Freedom party trailing in third place after Five Star Movement led by populist blogger Beppe Grillo, who has attracted younger voters with an anti-establishment, pro-environment message.

PEMBA ISLAND

                                                                              flickriver.com
                                                     Pemba island - Zanzibar Tanzania by Mr~Poussnik
                                                                      500 × 328 - 139k - jpg


                                                                faithtours-tz.com
                            Fifty Kilometers North of Zanzibar Main Island is the highly fertile Pemba ...
                                                             200 × 133 - 11k - jpg

                                                                     tripadvisor.com
                          pemba island flying fox forest - Review of Pemba Flying Fox Forest, Wete,
                                                                   550 × 366 - 24k - jpg

                                                                      oceaninspire.com
                                                          Pemba Island, Zanzibar – part 2
                                                                   715 × 477 - 442k - png

                                                             kervansaraybeach.com
                        Kervan Saray Beach - Pemba Island, Tanzania - Beach Resort and Scuba Diving
                                                             500 × 315 - 32k - jpg

                                                                         cordialtours.com
                                                                                  Pemba
                                                                      300 × 200 - 8k - jpg

                                                               colorsofzanzibar.com
                              Manta Reeg hotel is located in Northern Pemba Island in Zanzibar
                                                                300 × 200 - 27k - jpg

                                                                 tanzaniatoursandsafari...
                                                      It consists of two big islands: Unguja and Pemba.
                                                                    600 × 450 - 75k - jpg
                                                                    dreamworldadventures.c...
                        Pemba Island. Pemba Island is Unguja (more known as Zanzibar) sister Island
                                                                        435 × 700 - 40k - jpg

Wasiwasi umeongezeka juu ya ubakaji katika makambi ya Wasomali


Vurugu dhidi ya wanawake wa Somali huongezea, hususani matukio ya ubakaji yanayohusisha watu wasio na makaazi nchini mwao (IDPs) huko Mogadishu na vitongoji vyake, wanaharakati wa haki za wanawake wamesema.
    Wanawake wa Somalia wanaoishi katika makambi ya watu wasio na makaazi nchini mwao huko Mogadishu na vitongoji vyake viko hasa katika hatari ya aina mbalimbali za vurugu. [Stringer/AFP]
  • Wanawake wa Somalia wanaoishi katika makambi ya watu wasio na makaazi nchini mwao huko Mogadishu na vitongoji vyake viko hasa katika hatari ya aina mbalimbali za vurugu. [Stringer/AFP]
Kwenye tukio la Siku ya Kimataifa ya Umoja wa Mataifa kwa ajili ya Utokemezaji wa Vurugu dhidi ya Wanawake tarehe 25 Novemba, wanaharakati wametoa wito wa jitihada kuongezwa kuzuia vurugu dhidi ya wanawake wa Somalia.
"Wanawake wa Somalia wanapatwa na aina mbalimbali za vurugu ambazo zinajumuisha ukeketaji, ndoa za kulazimishwa na ukatili wa majumbani, lakini ubakaji bado ni aina mbaya ya shambulio wanalokumbana nalo wanawake," alisema Zahra Mohamed wa Kituo cha Maendeleo cha Wanawake wa Somalia. "Tumesajili matukio ya ubakaji na majaribio ya ubakaji 126 kwa kipindi cha miezi minne pekee na uongezekaji huu mkubwa unatisha."
Alisema idadi kamili ya matukio ya ubakaji inaweza kuwa kubwa zaidi kwa sababu waathirika wengi hawaripoti uhalifu huu. "Kuna matukio mengi ambayo hayaripotiwi kwa sababu waathirika wanaona aibu kuzungumza kilichowatokea kwa sababu wanaogopa ubakaji unaweza kuwaletea aibu," aliiambia Sabahi. "Hii ni kwa sababu jamii ya Wasomali ni jamii isiyopenda mabadiliko na kuchukulia ubakaji kuwa jambo la kuaibisha ambalo linawajia mara kwa mara wanawake kwa kipindi kilichosalia cha maisha yao."
Kituo cha Maendeleo ya Wanawake cha Somalia kiliandaa semina ya siku mbili iliyohudhuriwa na watu mbalimbali wa jamii ya Somalia huko Mogadishu iliyoanza tarehe 25 Novemba ili kutoa elimu ya haki za wanawake na kushughulikia aina za ukatili wa kimwili na kingono dhidi ya wanawake.

Wanawake katika kambi za watu wasio na makaazi nchini mwao (IDP) wanaathirika zaidi

"Uhalifu wa ubakaji na shambulio la kingono dhidi ya wanawake wanaoishi katika makambi ya Mogadishu umeongezeka," Mohamed alisema. "Hili linahitaji serikali na pande zote zinazohusika kuingilia kati kuondoa ukuaji sugu wa jambo hilo."
Waathirika wa ubakaji walio wengi wanaishi katika makambi ya IDP yaliyochakaa huko Mogadishu na vitongoji vyake ambavyo mara nyingi havina milango au miundo mingine ya kuzuia washambuliaji.
Kwa sababu hiyo, Samira Abdullahi, mwenyekiti wa Kituo cha Kuwalinda Waathirika wa Kubakwa Somalia, alisema waathirika wa kubakwa walio wengi ni wanawake wanaoishi makambini. "Asilimia tisini na tano ya matukio hayo yametokea katika makambi ya IDP wakati wabakaji walipovamia usiku na, kwa kushikiwa bunduki, walitishia kuwaua wanawake kama hawatakubaliana na matakwa yao," aliiambia Sabahi.
Abdullahi alisema makambi ya IDP huko Mogadishu hayana ulinzi -- ukiondoa kambi ya Badbaado inayosimamiwa na serikali ya Somalia na kambi ya Jazeera inayosimamiwa na Hilali Nyekundu ya Uturuki.
"Kulishughulikia jambo hili hakuwezi kufanyika kwa kutoa kauli mbiu na maneno matupu," alisema. "Tunaiomba serikali mpya kuchukua hatua za haraka za kuwalinda watu waliopoteza makazi."

Hadithi binafsi ya kubakwa katika kambi huko Mogadishu

"Wanawake wasiokuwa na makaazi nchini mwao hawajisikii salama kwa sababu hakuna anayeweza kuwalinda dhidi ya mashambulio ya vibaka na watu wanaotumia silaha," alisema Farhiya Ahmed, mama wa wasichana watatu mwenye umri wa miaka 43 katika kambi ya Kulmis huko Mogadishu katika wilaya ya Hodan.
"Wiki chache zilizopita, mmoja kati ya mabinti zangu ambaye ana umri wa miaka 17 alibakwa na watu wenye silaha," aliiambia Sabahi. "Msichana huyo alikwenda dukani karibu na kambi kununua mafuta ya kupikia na alipokuwa njiani, alivamiwa na wanaume watatu wenye silaha waliomvuta huku wakimuelekezea bunduki hadi kwenye jengo lililokuwa limejitenga na kumbaka huko."
"Msichana huyo alijaribu kulia kwa kutafuta msaada lakini watu hao wenye silaha walimpiga kwa kitako cha bunduki na kumpiga mateke," alisema. "Baada ya kumbaka, walitishia kumuua kama atamwambia mtu yeyote kuhusu kilichotokea."
Wakati wanawake wengi hawazungumzi kuhusu kubakwa kwa kuogopa kupewa adhabu na jamii, Ahmed alisema ni muhimu kushirikishana hadithi ya binti yake ili kuibua uelewa na kuzuia hili kutokea kwa wanawake wengine.
"Binti yangu bado ana hofu kwa sababu kundi hili la wabakaji limemuathiri kisaikolojia na kimwili," alisema.

Unajisi unawahatarisha wanawake

Malyun Sheikh Haider, mwanaharakati wa haki za wanawake na rais wa Kituo cha Tathmini na Maendeleo, alisema wanawake wa Somalia wako katika mazingira ya aina tofautitofauti ya unyanyasaji kama vile ukeketaji wa viungo vya uzazi vya kike, ndoa za kulazimishwa, kunyanyaswa kingono, kubakwa na ukatili wa majumbani.
Alisema unajisi unachangia kuongezeka kwa kiwango cha mashambulizi dhidi ya wanawake wasiokuwa na makaazi nchini mwao kwa sababu wahalifu wanajua wanaweza kufanya uhalifu bila kuadhibiwa. "Kimsingi, wahalifu wengi wanakimbia makosa yao na hii ni bahati mbaya sana," aliiambia Sabahi. "Wahalifu wanapaswa kuadhibiwa."
Haider alikubaliana na msimamo wa Rais wa Somalia Hassan Sheikh Mohamud, ambaye ametoa onyo kali kwa jeshi la taifa la Somalia kuhakikisha ulinzi wa raia. "Mwanajeshi yeyote anayemuua mtu mwingine naye atahukumiwa kifo," Mohamud alisema Jumapili. "Mwanajeshi yeyote atakayembaka mtu atahukumiwa kifo."
"Wahalifu lazima washitakiwe kwa mujibu wa sheria kwa sababu wasichana wa Kisomali hawawezi kupoteza heshima yao wakati wambakaji wako huru na kuepuka mkono wa sheria," Haider alisema.

Mlipuko wa Eastleigh waua 1, wajeruhi 8


Bomu lililotegwa kando ya barabara katika eneo la Eastleigh jijini Nairobi hapo Jumatano (tarehe 5 Disemba) lilimuua mtu mmoja na kuwajeruhi wanane wengine, liliripoti shirika la habari la AFP.
Bomu hili "lilikuwa limekwa kwenye shimo ardhini", na lililipuwa wakati wa pilika nyingi Jumatano jioni wakati watu walipokuwa wakirudi nyumbani kutoka kazini, alisema mkuu wa polisi wa Nairobi, Moses Nyakwama.
"Mtu mmoja alikufa hospitalini na mwengine bado amelazwa," alisema Nyakwama akiongeza kwamba wengine wameruhusiwa kurudi nyumbani.
Shiurika la Msalaba Mwekundu la Kenya lilisema hapo Alhamisi kwamba majeruhi aliyebakia hospitalini alikuwa katika hali mbaya sana.
Hakuna mtu aliyedai kubeba dhamana ya mashambulizi hayo.
Eneo hilo lenye kukaliwa kwa wingi wa watu wenye asili ya Somalia limeshuhuida kuongezeka kwa mashambulizi. Mwezi uliopita, kiasi cha watu watano waliuawa na zaidi ya 10 kujeruhiwa katika mashambulizi ya guruneti dhidi ya basi dogo. Mlipuko huo ulichochea ghasia za kikabila zilizojeruhi watu kadhaa.