Wajumbe wa Kamati ya baraza la wawakilishi
WAMWANZO kushoto ni Kaimu Meneja wa radio Jamii Micheweni (RJM)
Pemba, Ali Massoud Kombo akitoa maelezo mbele ya Kamati ya Mifugo,
Utalii, Uwezeshaji na Habari ya Baraza la Wawakilishi, kuhusu kazi na
changamoto za radio hiyo kulia ni Mwenyekiti wa Kamati hiyo Asha Bakar
Makame, akifuatiwa na Naibu Waziri wa Habari Hindi Hamad Khamis wakati
kamati hiyo ilipotembelea kituo hicho jana
No comments:
Post a Comment