Wednesday, January 9, 2013

Dr,Shein afungua Skuli mpya Madungu Chake chake Pemba

Rate This

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Sehin, akikata utepe kuashiria kuifungua Skuli mpya ya Sekondari ya Madungu Chake chake Pemba, ikiwa ni sehemu ya shamra shamra za maadhimisho ya miaka 49 ya Mapinduzi Zanzibar (picha na Haji Nassor, Pemba)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Sehin, akikata utepe kuashiria kuifungua Skuli mpya ya Sekondari ya Madungu Chake chake Pemba, ikiwa ni sehemu ya shamra shamra za maadhimisho ya miaka 49 ya Mapinduzi Zanzibar

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Sehin, akizungumza na wananchi, waalimu na wanafunzi wa skuli za sekondari  Madundu, Shamiani mara baada ya kuifungua skuli mpya ya sekondari ya Madungu, ikiwa ni sehemu ya shamra shamra za maadhimisho ya miaka 49 ya Mapinmduzi Zanzibar

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Sehin, akiondoa pazia kuashiria kuifungua skuli mpya ya Ssekondari ya Madungu Chake chake Pemba, ikiwa ni sehemu ya shamra shamra za maadhimisho ya miaka 49 ya Mapinduzi Zanzibar (picha na Haji Nassor)

No comments:

Post a Comment