Wananchi wa Dimani wakitoa maoni yao juu ya katba mpya
Matokeo ya maoni juu ya katiba mpya shehia ya Dimani wananchi
waliotaka Zanzibar huru ikufuatiwa na muungano wa mkataba kati ya
Zanzibar na Tanganyika ni 25.
Na wananchi waliotaka muungano huu uliopo uendelee kama ulivo ni87.
No comments:
Post a Comment