Saturday, December 8, 2012

MATOKEO YA MAONI JUU YA KATIBA MPYA SHEHIA YA MIKUNGUNI

Wananchi waliotaka Zanzibar huru kitaifa na kimataifa ikifuatiwa na muungano wa mkataba kati yake na Tanganyika ni 57.

Na kwaupande wa wananchi waliotaka mfumo huu uliopo wa muungano uendelee kama ulivo kati ya Zanzibar na Tanganyika ni 57.

No comments:

Post a Comment