Wa Mkataba na Muundo wa sasa waumana Z’bar

Maoni asubuhi 29 Nov. 2012 FUONI: Waliotaka Zanzibar iwe na mamlaka kamili kitaifa na kimataifa na kisha kufuatiwa na Muungano wa Mkataba kati yake na Tanganyika ni 54; na waliotaka muundo wa sasa wa Muungano wa Serikali mbili uendelee lakini ufanyiwe marekebisho ili kuipa hadhi Zanzibar na Rais wake ni 74.
Maoni 29 Nov. 2012 jioni KWARARA: Waliotaka Zanzibar iwe na mamlaka kamili kitaifa na kimataifa na kisha kufuatiwa na Muungano wa Mkataba kati yake na Tanganyika ni 54; na waliotaka muundo wa sasa wa Muungano wa Serikali Mbili uendelee lakini ufanyiwe marekebisho ya kuirejeshea Zanzibar nafasi yake kama mshiriki sawa ndani ya Muungano ni 71.
No comments:
Post a Comment